Sunday, 21 May 2017

Mbunge wa jimbo la Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la wanawake wa CHADEMA (BAVICHA) Taifa Mh. Halima James Mdee akichangia mapendekezo ya makadilio ya bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka wa fedha 2017/2018. Ameelezea pia namna ambavyo Wabunge wa chama cha mapinduzi (CCM) kwa wingi wao wamekuwa hawatimizi wajibu wao ipasavyo hivyo kushindwa kutimiza wajibu wao kikamilifu. Alienda mbele zaidi na kusema hatuwezi kusema tunajenga Tanzania ya viwanda wakati huo hatuwekezi kwenye sekta ya kilimo. Ili kufaidi maarifa; hekima; akili; elimu; utashi na uzalendo wa mwana mama huyu sikiliza video hii......

No comments:

Post a Comment